RABIES [KICHAA CHA MBWA]
Ugonjwa
wa mifugo uenezwao na mate ya mnyama mwenye ugonjwa huu na kusababisha
mabadiliko kwenye mishipa ya fahamu kupooza na kufa.
Viini
vya magonjwa, ugonjwa huu huletwa na virus
[rhabdovirus]
Uenezwaji,
mate kupita kwenye jekaha
DALILI
Ø Mnyama
anabadilika tabia mkali mpole/mpole mkali
Ø Hapendi
kelele wala mwanga mkali
Ø Hupenda
kujificha kwenye sehemu za giza
Ø Kama
hakufungwa hukimbia ovyo huku akiuma
Ø Wakati
mwingine hujin’gata mwenyewe
Ø Misuli
ya taya hulemaa na mate hutoka ovyo
DALILI
ZA MZOGA
Ø Mzoga
atakua amekonda
Ø Tumboni
kunaweza kua na vitu ambavyo si vya kawaida mfano mawe n.k
KUZUIA,
kuchanja na kuweka karantine
No comments:
Post a Comment